Mrajis wa vyama vya ushirika alitembelea chama kikuu cha ushirika LATCU. Alifanya kikao cha kufahamiana na wajumbe wa bodi mpya pamoja na menejimenti na watumishi wote wa LATCU. Mrajis yupo mkoani Katavi kwa ajili ya ziara ya mhe Rais wa JMT kuanzia tarehe 12 hadi 15/2024.